Wanawake wa Zambia wanavyotumia baiskeli kurahisisha shughuli zao za kila siku

Maelezo ya video, Jinsi baiskeli ilivyoongeza mara tatu kipato cha mwanamke mmoja

Kama hauna gari na barabara ni mbovu sana, huwa inakua vigumu kupeleka bidhaa sokoni au kufika shuleni. Je baiskeli ni jibu ? Watu hawa wa Zambia wanahisi hivyo