Kifo cha rais John Magufuli: Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa John Pombe Magufuli Dar es

Maelezo ya video, Kifo cha rais John Magufuli: Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa John Pombe Magufuli Dar es

Mamia ya Watanzania wajitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa hayati Dokta John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru Jini Dar es salaam