Jinsi nzige wanavyotumiwa kwa faida nchini Kenya

Maelezo ya video, Wakati nzige wanavyotumiwa kama fursa ya kujipata faida

Nzige ni wadudu wanaoaminiwa kuwa waharibifu kutokana na jinsi wanavyoharibu mimea ya mazao mmbali mbali. Lakini nchini Kenya shirika moja lisilo la kiserikali (NGO) linatoa mafunzo kwa jamii ncini humo kuwakamata nzige, ili kuwageuza kuwa chaula cha wanyama.