Je kwanini baadhi ya nchi zinashauri watu wavae barakoa mbili?

Maelezo ya video, Barakoa mbili: Je tunapaswa kuzitumia?

Kuna aina nyingi za vitu unavyoweza kuvitumia kufunika uso-na katika baadhi ya nchi ushauri umeanza kubadilika kadri tunabaini zaidi kuhusu usambaaji wa virusi. Lakini je ni kwanini baadhi ya nchi sasa zinashauri kwamba watu wasivae barakoa moja pekee, bali aina mbili za tofauti za barakoa?