Je ni kwanini ugonjwa wa uvimbe kwenye kizazi au Fibroids huwaathiri wanawake weusi?

Maelezo ya sauti, Je ni kwanini ugonjwa wa uvimbe kwenye kizazi au Fibroids huwaathiri wanawake weusi?

Wanawake wengi Afrika wanasumbuka na uvimbe katika kizazi. Hali hii huwaathiri wanawake wakati wa uzazi kwa miaka mingi na husababisha maumivu makali sana.