Kwa nini wanaume watano wamekwama kwenye meli
Wafanyakazi wa meli ya mafuta ya MT Iba oil wamekwama ndani ya meli hiyo kwa karibu miaka minne baada ya mmiliki wa meli hiyo kukumbwa na changamoto za kifedha.
Meli hiyo ilipigwa na mawimbi hadi ufukwe wa Milki za Kiarabu. Lakini hatimaye huenda wakapata msaada