'Nasikitika sitaweza kumzika baba'

Maelezo ya sauti, 'Nasikitika sitaweza kumzika baba'

Mwana wa kiume wa Maalim Seif Sharif Hamad, Suleiman Maalim Seif ameiambia BBC kwamba hatafanikiwa kuhudhuria mazishi ya baba yake kutokana na sababu ambazo zipo inje ya uwezo wake.

Bw. Suleiman ambaye yuko nchini Ujerumani amezungumza na mwandishi wa BBC Caro Robi.