Simulizi ya mwanaume anavyookoa watoto wa nyani katika katika msitu wa Amazon

Maelezo ya video, Simulizi ya mwanaume anavyookoa watoto wa nyani katika katika msitu wa Amazon

Jhon anaokoa na kuwasaidia nyani ambao ambao wanawindwa katika msitu wa Colombian Amazon.Pia anafanya kazi ya kubadili mitazamo ya watu ambao wana wanawalenga kwa ajili ya kupata nyama na wengine kuwauza wanyama hao.

Hii ndio simulizi yake