Mgogoro wa Msumbiji: Jifahamishe kuhusu yale yanayoendelea nchini humo
Mwezi Novemba 2020, watu 50 walikatwa vichwa na wapiganaji wa Kijihad nchini Msumbiiji .
Zaidi ya watu 430,000 wamewachwa bila makao tangu 2017 wakati mgogoro huo ulipoanza katika eneo la kaskazini.
lakini tunauliza ni nini haswa kinachoendelea nchini humo?