Tazama jinsi mjusi huyu alivyonusurika kifo kutoka kwa nyoka wenye njaa
Mjusi mkubwa anayeishi baharini nusra awe chakula cha nyoka walio na njaa kisiwani Galapagos huko Fernandina. Macho ya nyoka hayoni vizuri lakini yanaweza kuona kitu kinachotambaa.Mjusi huyo analazimika kuongeza kasi ili kutoroka na kufika kwa wenzake