Christmas: Fahamu maana ya siku kuu hii kutoka kwa viongozi wa dini
Watu kote duniani wanasherehekea siku kuu ya krisimasi mojawapo ya siku takatifu duniani katika kalenda ya Wakristo.
Lakini ibada za mwaka huu makanisani na matukio yake yanahudhuriwa na watu wachache kutokana na mlipuko wa virusi vya corona .