Je maembe inaweza kutengezwa nguo?

Maelezo ya video, Je maembe inaweza kutengezwa nguo?

Jessica Collins, mwenye umri wa miaka 18, alikulia katika eneo la mashamba yaa miembe mjini Queensland, Australia. Baada ya kukwazika na jinsi maembe mengi yanavyoharibika kila mwaka aliamua kutumia karibu matunda 1,400 ambayo hayatumiki kutengeza nguo.