Upasuaji wa uchungu unaowavutia wengi
Upasuaji wa kurefusha miguu unajumuisha mambo mengi sana. Upasuaji wa aina hiyo ulikuwa ukifanyiwa watu waliopata ajali, lakini sasa mamia ya watu wanafanyiwa upasuaji huo katika maeneo tofauti duniani.
Ghama ya upasuaji huo uko juu sana na licha ya hatari inayotokana na changamoto zake baadhi ya watu wakotayari kufanyiwa.