'Alikamatwa na kulazimishwa kufanyiwa vipimo vya ubikira'
Vipimo vya ubikira vinafanyika katika mataifa yapatayo 20, kwa mujibu wa WHO.
BBC ilizungumza na mwanasiasa wa zamani ambaye alikuwa gerezani nchini Misri, anaelezea jinsi alivyolazimishwa kufanyiwa vipimo vya ubikira wakati yuko gerezani.
Jina lake limehifadhiwa ili kumlinda.
Kwa mujibu wa sheria ya Misri, wafungwa wana haki ya kutuma malalamiko yao kwa msimamizi wa gereza.
Wanawake 100 wa BBC 100 imetoa simulizi yake #BBC100Women.
