BBC 100 Women 2020: Je ni nani aliyepo katika orodha hiyo?

Maelezo ya video, Uzinduzi wa BBC 100 Women

Ungana nasi mubashara katika mafunzo ya kusisimua ya kidijitali, mahojiano ya kipekee na wageni wenye uweledi tarehe 30 Novemba.

Inayoletwa kwako na wanahabari wa BBC Nuala McGovern na Rianna Croxford. Jiunge nasi: #BBC100WMasterclass