Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Tundu Lissu atoa sababu za kuelekea Ubelgiji
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameambia BBC kwamba alipokea vitisho vya kifo hatua iliomfanya kuondoka na kuelekea Ubelgiji.
Bwana Lissu anasema kwamba usalama aliopewa wakati alipokuwa mgombea wa urais uliondolewa baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa na kuanza kupokea vitisho vya kifo.
Haya hapa mahojiano na mtangazaji wa Dira Tv Zuhura Yunus.