Mpiga picha aliye na jicho moja aeleza safari yake ya kujikwamua kimaisha

Maelezo ya video, Mpiga picha aliye na jicho moja aeleza safari yake ya kujikwamua kimaisha

Mpiga picha aliye na jicho moja aeleza safari yake ya kujikwamua kimaisha.

Temitope Akinnusi alikuwa na miaka kumi pale jicho lake lilipopata jeraha kiasi cha kutokurejea katika hali yake ya kawaida.

Tangu wakati huo alikuwa akinyanyapaliwa alipokuwa shuleni na hata alipokuwa akitafuta ajira.

Baada ya kushindwa kupata kazi kwasababu ya hali yake, ameamua kujiajiri kufanya kazi ya kupiga picha.