Uchaguzi wa Marekani 2020: Wafahamu watu ambao huenda wakaamua matokeo ya uchaguzi wa Marekani

Maelezo ya video, Uchaguzi wa Marekani 2020: Wafahamu watu ambao huenda wakaamua matokeo ya uchaguzi wa Marekani

Wapiga kura wahamiaji milioni 32 ni kina nani? Wanatoka wapi …na wanawezaje kuamua matokeo ya uchaguzi wa Marekani?