Shule Kiislamu zinazowanyanyasa watoto Sudan zafichuliwa
Uchunguzi wa BBC nchini Sudan umebainisha matukio ya unyanyasaji wa watoto katika shule kadhaa za Kiislamu nchini Sudan.
Baadhi ya watoto wameeleza madhila waliyoyapitia wakati wazazi wakitafuta haki