Video ya kuogofya iliyochukuliwa Kaskazini mwa Msumbiji
Wanaume wanne, mwanamke mmoja mwenye uoga, mauaji na video kuhusu yote hayo vilipakuliwa kwenye mitandao ya kijamii- hii ni hadithi moja tu inayoonesha kuongezeka kwa ghasia nchini Msumbiji. Onyo: Video hii ina picha za kuogofya.