Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi aipinga vikali ripoti ya UN

Maelezo ya sauti, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi aipinga vikali ripoti ya UN

Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ilitoa taarifa juu ya haki za binadamu maeneo mbalimbali duniani na kuonesha wasiwasi wake juu ya hali ya Tanzania.

Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania.

Mwandishi wa BBC, Caro Robi alizungumza naye.