Kupanda kwa bei ya dhahabu kwenye soko la dunia kunavyoinufaisha Tanzania

Maelezo ya sauti, Kupanda kwa bei ya dhahabu kwenye soko la dunia kunavyoinufaisha Tanzania

Kupanda kwa bei ya dhahabu kutokana na mahitaji yake katika soko la dunia kumefanya madini hayo kuwa chanzo kikubwa kinachoipatia Tanzania fedha za kigeni.

Nchi hiyo inaingiza zaidi ya dola milioni 200 kwa mwaka, licha ya dunia kukumbwa na athari za jana la Covid 19 .

Lakini nini kimefanya nchi hiyo kunufaika na rasilimali hiyo.

Mwandishi wa BBC, Halima Nyanza, ana maelezo zaidi.