Kipindi cha televisheni kutafuta wapenzi kilivyogeuka burudani
Mchezo wa kwenye televisheni wa kukutana kwa wapenzi uekuwa aina ya burudani kwa watazamaji kwa miongo mingi.
Lakini hivi karibuni, Televisheni imechukua kipindi hiki na kutengeneza vipindi kama Love Islands na First Dates.
Na sasa michezo hiyo imeelekea kwenye mitandao ambapo kila mmoja anaweza kushiriki