'Mume wangu alitaka wazazi wake waje kwenye fungate yetu'

Maelezo ya video, 'Mume wangu alitaka wazazi wake waje kwenye fungate yetu'

Ndoa ya kupangwa: Wanawake wasimulia uzoefu wao wa ndoa za kupangiwa katika jamii ya kusini mwa bara Asia