Nyama ya mbwa iliwe au isiliwe...Wakorea wa kaskazini na kusini watafakari

Maelezo ya video, Je unaweza kumchumbia mtu anayekula mbwa?

Kwa kawaida mbwa huliwa nykati za msimu wa joto katika mataifa ya Korea Kaskazini na Korea Kusini. Lakini kwasababu Wakorea Kusini sasa wanawafuga kwa wingi mbwa kama wanyama wa nyumbani ulaji wa mbwa limegeuka kuwa kitu chenye utata. Serikali inakabiliwa na shinikizo la kuitaka ipige marufuku ulaji wa mbwa. Mwandishi wa BBC amewakutanisha Wakorea wenye maoni tofauti juu ya suala hilo. Je wataweza kuondoa tofauti zao?