Milki za kiarabu zaanza safari ya kwanza kwenda sayari ya Mars
Jumuiya ya nchi za falme za kiarabu imetuma chombo cha anga kwa jina, 'Hope, to Mars'.
Sarah Al-Amiri, ni mwanasayansi wa falme za kiarabu aliyeongoza mpango wa safari ya kwenda sayari ya Mars kwa kipindi cha miaka sita.