Virusi vya Corona: Mapambano ya kuthibitisha uwepo wa Covid-19

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Mapambano ya kuthibisha uwepo wa Covid-19

Kesi za virusi vya corona zikiwa zinaongezeka barani Afrika lakini baadhi ya nchi, watu hawaani kama janga hili la corona lipo kweli.