Nyani ndio wenyeji wapya wa mji nchini Thailand
Nyani au tumbili sasa ndio wenyeji wa mji huu wa Thailand ambao sasa hivi wamekuwa tishio hata kwa binadamu.
Idadi yao inaendelea kuongezeka kila uchao na kushindwa kudhibitiwa.