Ikorodu Bois wasanii waliogiza matukio katika filamu ya Money Heist

Maelezo ya video, Ikorodu Bois hurudia matukio katika filamu ya Money Heist

Kutana na Ikorodu Bois raia wa Nigeria ambaye amepata umaarufu kwa kuhurudia matukio katika filamu ya Money Heist.

Video yao ya mwisho iliwavutia watu wengi miongoni mwao nyota wa fulamu za Marekani Hollywood.