Familia yadai hofu corona imesababisha kifo cha mtoto

Maelezo ya video, Familia yadai hofu corona imesababisha kifo cha mtoto

Familia inasema kuwa hofu ya Covid-19 ilisababisha kifo cha mtoto wao.

Wazazi wa Rafa walimpeleka kutoka hospitali moja baada ya nyingine –lakini hakuna hospitali iliyokubali kumlaza kwa ajili ya matibabu. Alikufa kutokana na saratani ya damu.