Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa katika maandano ya Kifo cha George Floyd
Patrick Hutchinson amepongezwa sana baada ya picha yake akimsaidia mtu aliyejeruhiwa kusambaa, wakati wa makabiliano kati ya wafuasi wa Black Lives Matter dhidi ya wale wanaounga mkono mrengo wa kulia mjini humo.