Virusi vya corona: Niliishi na buibui 70 katika lockdown

Maelezo ya video, Aliishi na buibui 70

Je unaweza kuishi na Buibui 70?, kama hauwezi basi tazama kando!. Zookeeper Caitlin Henderson aliishi na 70 kati yao wakati mmoja wakati wa amri ya kutotoka nje nchini Australia.