Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa?
Wakati, Burundi ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wiki ijayo, uhusiano kati ya nchi hiyo na jirani yake wa karibu Rwanda ukiwa umevunjika.
Awali Burundi na Rwanda ni nchi zilizokuwa na mahusiano mazuri na zilikuwa nchi moja enzi za ukoloni wa Ubelgiji.Wakati huu mahusiano yamekatika,Je nini hasa kiliathiri uhusiano katika nchi hizo zenye utamaduni,makabila na lugha moja?
Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ameandaa taarifa ifwatayo akiwa mjini Kigali.