Virusi vya Corona: Fahamu ukweli wa madai ya kinyesi cha ng'ombe hutibu virusi

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Fahamu ukweli wa madai kuwa kinyesi cha ng'ombe kutibu virusi

Mtandaoni kuna taarifa zinaenezwa kuwa kinyesi cha ng'ombe kinaweza kumponyesha mgonjwa wa corona, pia kuna wanaosema mkojo wa wanyama hao unaweza kuwa kinga kwa mtu atakayeuoga. Je kuna ukweli wowote? Tazama video hii ya sekunde 60 kwa faida yako...