Virusi vya corona: Serikali ya Ecuador inavyopambana kuzika waliofariki

Maelezo ya video, Virusi vya corona: serikali ya Ecuador yazidiwa na idadi kubwa ya vifo

Juma moja baada ya picha za miili ikiwa imezagaa mitaani nchini Ecuador kushika kasi kwenye vichwa vya habari, familia bado zinasubiri kuwazika wapendwa wao.

Mlipuko wa virusi vya corona mjini Guayaquil umefanya mji huo kuwa mji ulioathirika vibaya zaidi na maambukizi katika eneo la Amerika Kusini.

Tahadhari: Baadhi ya picha ni za kuogopesha