Coronavirus: Unadhani ukivaa barakoa umejikinga

Maelezo ya video, Lakini je kuna haja ya kutumia barakoa?

Mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kushudiwa karibu kila pembe ya dunia, barakoa ya kuzuia imepata umaarufu huku kila mtu akijaribu kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa hatari wa Covi-19. Lakini je kuna haja ya kutumia barakoa? Daktari Shunmay Yeung kutoka chuo la London cha masuala ya usafi na magogonjwa yanayokumba maeneo ya joto, anaeleza.