Coronavirus: Jinsi ya kusafisha simu yako kwa njia salama
Huenda unataka kuhakikisha simu yako haina viini vya bakteria, baadhi ya vitu unavyotumia kuua viini vinaweza kuharibu simu yako. Wataalamu wanashauri kutumia sabuni na maji kufuta simu yako. Tazama mbinu hii inavyofanya kazi.