Coronavirus: Abiria wagombana kwenye treni kwa kukohoa bila kufunika mdomo

Maelezo ya video, Abiria wagombana kwenye treni kwa kohoa bila kufunika mdomo

Abiria wawili wamenaswa kwenye kanda ya video wakigombana kwennye treni nchini Sweden. Hii ni baada ya mmoja wao kudai kuwa ''amekoholewa''.

Majibizano yao yalirekodiwa na mwandishi aliyekuwa ameketi karibu nao na video hiyo imesabaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ya Australia.