Mambo matano muhimu kuhusu virusi vya corona

Maelezo ya video, Mambo matano muhimu kuhusu virusi vya corona

Mambo muhimu unayopaswa kufahamu kuhusu mlipuko wa virusi vya corona.

Ninawezaje kuambukizwa na virusi hivi na ninawezaje kuambukiza?