Tazama ndege hizi zisizo na rubani zinavyosaidia uzazi salama Sierra Leone

Maelezo ya video, Tazama ndege hizi zisizo na rubani zinavyosaidia uzazi salama Sierra Leone

Hata hivyo mradi huu wa ndege zisizo na rubani wa kusaidia kutoa huduma za afya unaweza kuwa mkombozi.