Mzee wa miaka 69 aendesha baiskeli umbali wa kilomita 200 kumzika Moi
Ilimchukua siku tano Nathan kufika kwenye shughuli hiyo tangu alipoanza safari Jumatano juma lililopita. Aliwasili jana Kabarak akitokea eneo la Ndalu Magharibi mwa Kenya.
Video: Faith Sudi