Tazama tukio hili la kihistoria lilivyojiri

Maelezo ya video, Tazama tukio hili la kihistoria lilivyojiri

Uingreza hatimaye imejiondoa rasmi kutoka Muungano wa Ulaya (EU) baada ya kuwa mwanachama kwa miaka 47 - na baada ya miaka zaidi ya mitatu tangu ilipoamua kufanya hivyo katika kura ya maoni. Tazama tukio hili la kihistoria lilivyojiri