Je upasuaji wa kuongeza ukubwa wa maziwa ni salama?

Maelezo ya video, Fahamu hatari ya kuongeza maziwa

Kuongeza maziwa ni moja ya upasuaji maarufu wa urembo.

Baadhi ya wanawake wamekuwa wakifanyiwa upasuaji huo kama sehemu ya kuongeza urembo.

Lakini je upasuaji huu ni salama?