'Umeolewa au hujaolewa'

Maelezo ya video, ''Umeolewa au hujaolewa''

Wanawake wawili nchini Kuwait wanasimulia jinsi walivyokosa huduma kutoka kwa daktari bingwa wa wanawake baada ya daktari kugundua kuwa hawajaolewa.