Finland inaongozwa na muungano wa vyama vitano

Maelezo ya video, Finland inaongozwa na muungano wa vyama vitano

Sanna Marin, Waziri wa zamani wa usafirishaji, alichaguliwa kuongoza chama kikubwa cha Social Democrats ambacho kilimchagua kuwa Waziri Mkuu, kiongozi mdogo kuwahi kutokea mwenye umri wa miaka 34.