Tazama ghasia za waandamanaji wanaodai demokrasia Hong Kong

Maelezo ya video, Tazama ghasia za waandamanaji wanaodai demokrasia Hong Kong

Kumekuwa na wimbi la maandamano ya watu wa Hong Kong wanaodai demokrasia huku waandamaji wakipata kipigo kutoka kwa polisi baada ya waandamaji kuweka vizuizi vya barabarani.

Licha ya kupigwa maandamano hayo hayakomi.