Tazama ghasia za waandamanaji wanaodai demokrasia Hong Kong
Kumekuwa na wimbi la maandamano ya watu wa Hong Kong wanaodai demokrasia huku waandamaji wakipata kipigo kutoka kwa polisi baada ya waandamaji kuweka vizuizi vya barabarani.
Licha ya kupigwa maandamano hayo hayakomi.