Vizazi vya waliokuwa watumwa wa Marekani vyarejea nyumbani Ghana

Maelezo ya video, Mwaka wa kurejea Ghana kwa vizazi vya waliokuwa watumwa

Mwaka huu umetangazwa kuwa ni mwaka wa vizazi vya watumwa kutoka Ghana ambao sasa ni Wamarekani, Je wanasema nini baada ya kurejea katika taifa lao la asili kwa mara ya kwanza?