Kamari inavyowaathiri vijana Afrika
Maduka ya kucheza kamari yako kila mahali nchini Uganda, nayamekuwa yakiwashawishi vijana,
kujipatia kipato kutokana upendo wao wa mchezo wasoka huku yakiwaahidi maisha mazuri.
Lakini vijana wa Kiganda wanaelewa wanakabiliwa na nini wanapocheza kamari?
BBC Africa Eye imezungumza na mashabiki wa soka nchini humo kubaini kinachofanyika wakati makampuni makubwa ya kamari yanapowalenga vijana wanaosadikiwa kuwa watu masikini zaidi katika bara hili.
