Mashine zinazosafisha maji kutoka kwenye vyanzo vya maji Mwanza Tanzania
Katika jitihada za kupambana na uchafuzi wa mazingira sambamba na upatikanaji wa maji safi na salama nchini Tanzania vijana wavumbuzi wa teknolojia wameanzisha mashine za digitali ambazo zinasafisha maji kutoka kwenye vyanzo vya maji kwa haraka na kuyasambaza.
Mashine hizo ambazo zimewekwa kwenye maeneo mbalimbali jijini Mwanza nchini humo hasa penye mkusanyiko wa watu wengi zikiwa na lengo la kutatua changamoto za kimazingira na kiafya.
Eagan Salla alitembelea jiji la Mwanza na kujionea
